Friday, 20 September 2013
Africans Home Decor and Interior Inspiration
Today Let us look what Inspired People to Use African Styles to Beautify their Homes..Learn from these Pictures and tell us what is most Inspiration from African culture that you will use to Decorate or Accessorize your Home!
Wednesday, 18 September 2013
Be Inspired!
Today am so happy to share with you these pictures, kutoka kwa mmoja wa fans mkubwa wa Blog hii na kazi zangu kwa ujumla, Mimi kwa ukweli nimekuwa inspired with all of these kuanzia designs na decorations!
Tips on how to Design, Organize and Decorate your Dressing Room!
Hello wapendwa na wadau wa Blog yetu ya Whitewings Home Decor, leo ningependa tuzungumzie jinsi ya kuweka dressing room katika hali nzuri hii nipamoja na kupanga kabati lako la nguo na kuhifadhi vipodozi vyako katika hali ya usafi hasa kwa wale wenye dressing table..ni vyema kujua nikiasi gani cha nguo na aina gani ya nguo ulizonao ili kujua nijinsi gani utachagua kabati la nguo kwani kuna aina nyingi ya makabati..mfano kwa wanawake wengi huwa wananguo na viatuvingi sana hivyo ni vyema kutengeneza kabati kubwa na hata kama ni dogo ni vizuri kuzingatia upangaji mzuri wanguo zako kulingana na aina ya nguo, viatu, mapochi, mikanda ya nguo na vingine vingi!
Pia kwenye Dressing Table ni vyema kudesign kulingana na matumizi yako..weka kioo kikubwa chakutosha kujitazama na pia dressing table yako iwe na drawer za kutosha uhifadhi vipodozi kuzingatia pia aina ya vipodozi/ cosmetics unazotumia hii ni kutokana huwezi kuweka kila kitu juu ya dressing table yako..weka pia accessories zako mfano..pete, ear-rings au bangili zako kwenye pochi maalumu kisha hifadhi kwenye droo! hii husaidia zisiharibike kwa urahisi au kuibiwa kama itatokea, pia hifadhi vifaa vya kutengeneza nywele kwenye drawers mfano machanuo na vibanio!
Kila mwanamke hupenda nyumba ipendeze basi zingatia pia ku-decorate Dressing Table yako kwa kuweka hata chupa ya ua zuri juu yake..frame ya picha au other accessories..!

Tuesday, 17 September 2013
How to Accessorize your Living-room in a simplest ways!
Try to choose nice furniture, pick lovely color for your wall and also make decision what lightning and other accessories that will beautify your living room
Thursday, 12 September 2013
Hallway Wall Decor
Tukiendelea na mada ya jinsi ya kupamba kuta za room yako leo tuangalie kwa wale wenye nyumba zenye corridor au hallway huwa wanapamba kwa kutumia nini ..kwa nyumba nyingi tumeona sehemu kubwa ya kuupendezesha ukuta ni pamoja na kutumia frames za picha ambapo hapa frames zake zinatakiwa kuwa kubwa ikiwa utakuwa na eneo kubwa la ukuta...vile vile ni vyema kujua na kuzingatia ukubwa wa corridor yako kwani kuna corridor pana na zile nyembamba.
Vile vile kuna upambaji wa kuta za hallway kwa kutumia kioo kama pambo,au taa maalumu zijulikanazo kama lamp shade za ukutani ili kuongeza rangi yenye kuvutia wakati wa usiku.
Hivyo ni uchaguzi mzuri kujua nini kunafaa kuupendezesha ukuta wa nyumba yako kwa kutumia mifano hiyo michache! Na kama unaushauri,maoni na hitaji lolote kutoka kwetu kupitia mada zetu please usisite kuwasilana nasi kwa kuniandikia.
Email~whitewings.homedecors@gmail.com

Subscribe to:
Posts (Atom)