Thursday, 8 January 2015

MARSALA PANTONE, COLOR OF THE YEAR 2015.

Katika kuukaribisha mwaka mpya 2015, Whitewings inayofuraha kuwatambulisha kwenu Rangi ya mwaka inayojulikana kama Marsala Pantone, hii rangi ambayo wengi wamekuwa wakiita Maroon, ama Damu ya mzee. Rangi hii kwa kweli ina mvuto kila mahala inapowekwa kama decoration za nyumba au kwenye fashion za mitindo ya Nguo.




Katika kujifunza kidogo kuhusu rangi hii kwenye upambaji wa nyumba zetu ni dhahiri kwamba lazima tujue kwamba, si lazima nyumba nzima itawaliwe na hii rangi, bali ni vizuri kujua ni wapi inapotakiwa kuchukua nafasi yake katika upambaji.



Marsala Pantone 2015, inaweza decorate nyumba yako kwa kuweka accessories mbalimbali zenye hii rangi mfano cushions, bowls za mezani,table mats and table runners, mapazia, side chairs, space rugs, throws na kadhalika.
Wengine pia unaweza itumia kwenye ukuta kama Artwork flani kwenye frame ya picha kubwa na kuiweka, au wall paper kwenye ukuta wa chumba.


Hivyo katika ku-add flavor katika nyumba yako basi chagua accessories baadhi ili ulete mwoneka mzuri unao weza kuleta mvuto katika nyumba yako.
Best of Lucky, Happy New and God Bless you All.
XOXO.

No comments:

Post a Comment

Blog Comments

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...