She is a Mother, First Lady n' Role Model to all smart Mamas out there!
Friday, 29 November 2013
Monday, 25 November 2013
Friday, 22 November 2013
Thursday, 7 November 2013
Small space Decorating
Leo tuangalie Jinsi ya kupamba nyumba ambayo yenye nafasi ndogo, hii ni mada ambayo hugusa wadau wengi na wapenzi wengi wanaopenda upambaji wa vyumba vyao ila hawajui watapamba au arrange vipi kwani wengi hujikuta wana space ndogo sana..!
Kwanza kabisa jaribu kuebuka kubananisha vitu wakati unaweza ukatumia sehemu kama Ukuta wako kwa kuutenezea shelves nzuri ambazo zitabeba vitu kama vitabu,flower vases,frame za picha n.k basi ni vyema kutafuta designer mzuri ili aweze kuifanya hiyo kazi kwani itakupunguzia wingi wa vitu visivyokuwa na mpangilio mzuri..!
Pia mfano mwingine mkubwa ambao watu wengi huanza nao ili kuifanya nyumba au chumba chako kionekane kikubwa kwa namna moja au nyingine...hii njia ya kuchagua rangi ya kupaka ukutani...na pia jinsi yakumatch hiyo rangi na rangi za furniture zako.
Pili jifunze kupanga vyombo vya ndani mfano kwenye sebule Kochi,viti na meza vizuri kulingana na design ya sebule yako, ambapo decoration yako ita-matter sana hapo consider vitu kama color, accessories na vitu vingine vidogodogo.
Huu ni mfano wa ngazi ambazo pembeni yake zime tengenezewa drawers nzuri nani kubwa kwa ajili ya kuifadhi vitu mbali mbali vya familia...hii ni nzuri sana kama unavitu vingi na hauna sehemu ya kuviweka...!
Kwanza kabisa jaribu kuebuka kubananisha vitu wakati unaweza ukatumia sehemu kama Ukuta wako kwa kuutenezea shelves nzuri ambazo zitabeba vitu kama vitabu,flower vases,frame za picha n.k basi ni vyema kutafuta designer mzuri ili aweze kuifanya hiyo kazi kwani itakupunguzia wingi wa vitu visivyokuwa na mpangilio mzuri..!
Pia mfano mwingine mkubwa ambao watu wengi huanza nao ili kuifanya nyumba au chumba chako kionekane kikubwa kwa namna moja au nyingine...hii njia ya kuchagua rangi ya kupaka ukutani...na pia jinsi yakumatch hiyo rangi na rangi za furniture zako.
Pili jifunze kupanga vyombo vya ndani mfano kwenye sebule Kochi,viti na meza vizuri kulingana na design ya sebule yako, ambapo decoration yako ita-matter sana hapo consider vitu kama color, accessories na vitu vingine vidogodogo.
Wednesday, 6 November 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)