Tuesday, 10 September 2013

Living room Wall Decor!

Katika kujadili Ujumbe wa siku ya leo, nimepata idea kutoka kwa mmoja wamdau wa Whitewings Home Decoration kwamba anapenda sana kujua ni jinsi gani anaweza kupamba ukuta wa sebule yake na kwa vitu gani!
Ukweli ni kwamba si kitu rahisi kuifanya sebule yako au chumba chako kivutie, ila inahitaji ubunifu na hamasa ya jinsi ya kujua ukuta wa sebule yako unahitaji kitu gani ili uvutie nakuifanya sebule yako ipendeze kwa ujumla, ni vyema kujua na kuzingatia masuala mdogo madogo katika kufanya decorations za ukuta wa sebule yako..moja wapo nikujua je kama una-space kubwa katika wall yako ili uweze kufanya maamuzi ya ni nini  unaweza kutumia kupamba ukuta wako...mfano kuna frame pictures, wall papers, wall sticker, wall shelves na vitu vingine vingi ambavyo unaweza kuvining'iniza,kuvibandika au hata kuviegesha ili mradi ukuta upendeze.
Kwa mfano mzuri uliozoeleka ukutumia picha za ukutani ambazo ni vyema kuziweka kwa mpangilio mzuri na kwa upande mmoja mkubwa wa ukuta wako, chagua rangi nzuri ya frames zako zitakazo endana vyema na ukuta wako na pia angali rangi za furniture mfano, sofasets zako, na epuka kusambaza mapicha kila pande za ukuta wako itaweza leta mwonekano usiovutia.
kwa wale wanaopenda wall shelves hizi ni aina yadecor nzuri na isiyo nagharama sana..tengeneza shelves zako katika ukubwa na designs uzipendazo ambapo utatumia kudecorate kwa kuziwekea juu frame za picha, flower vases au aina nyingine za urembo kama zile accessories zakuweka mezani.

Kumbuka Whitewings Home Decor inatoa huduma zote hizi ikiwemo tunauza frame za picha,tuna-design wall shalves na wall paper pia zipo na tunatoa huduma za kukupambia na ushauri wa buree kabisa.

Mada hii intaendelea next time...!

















No comments:

Post a Comment

Blog Comments

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...