Friday 21 August 2015

New Season

Hello wapendwa na wadau wa blog yetu hii, ni mda tangu tukutane katika harakati za interior designing and decoration, wakati tukiwa katika harakati za hapa na pale katika kujenga taifa letu, ni vyema basi tusisahau pia kujenga, kutunza na kuzipamba nyumba zetu, hivyo ni wakati wakufanya mabadiliko katika sebule,chumba cha kulala na pengineko kwa kununua foronya nzuri na mito kutoka kwetu kupitia online kwa pages zetu ya Instagram @whitewings_interiors na Facebook an Twitter pia, kuna maelezo zaidi kuhusu, order, malipo na jinsi ya kuupata mzigo wako ndani ya mda muafaka.
Tunapenda kuwakaribisha sana.

Blog Comments

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...