Wednesday, 30 October 2013

Pillow Decoration Therapy

Leo wadau wangu tuangalie jinsi ya kupamba kwa mito...kuna aina nyingi ya mito na size zake pia..hii mito inapendezesha sana katika upambaji ikiwa utajua kuitumia kulingana na size zake..mfano Ukajua nimito ipi ya kupamba sebuleni kwenye sofas au Kitandani kwako...Leo nina mto mmoja huwa kwa mie huwa na upenda sana kwa decoration, huu mto unaweza tumika kwenye sofa au kitandani pia!
Lumbar Pillows are the most decorative pilllows ambao uki-locate vizuri wakati wakuupamba unamwonekano Mzuri sana!
Hii ni baadhi ya picha za kujifunza jinsi ya ku-decorate na mito mbalimbali ukiwemo huu aina ya Lumbar!

Hivyo basi napenda kusema kuwa Whitewings inatoa huduma ya mito aina zote kwani tunatengeneza wenyewe kwa ujazo mzuri na kuzingatia ubora..!




Tuesday, 22 October 2013

Today Home Decor Inspiration

Nimevutiwa na color, coz zinaleta mwanga na zinavutia sana..Decor Plan ya hapa ni nzuri, pia Space Management imezingatiwa na hii nikitu muhimu hata kama nyumba yako ni ndogo!
Be Inspired Always.





Blog Comments

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...